UZINDUZI RASMI WA HUDUMA YA 4G LTE MKOANI DODOMA, TAREHE 09 FEBRUARI 2017

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Kassim Majaliwa na Afisa Mtendaji mkuu wa Kampuni ya simu Tanzania TTCL Nd. Waziri Waziri Kindamba, kwa pamoja katika uzinduzi wa huduma za TTCL4G LTE mjini Dodoma mapema mwaka huu.

Waziri Mkuu katika uzinduzi 


Waziri Mkuu akiongea na dawati la huduma kwa Wateja TTCL Dodoma.


Meneja Mahusiano wa TTCL nd. Nicodemas Mushi pamoja na Wtumishi wengine wa TTCL kwa pamoja wakijadiliana jambo hii ni katika Uzinduzi wa huduma za TTCL 4G LTE Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai wakiteta jambo kwa pamoja na mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete pamoja na wabunge wengine.

AFISA MTENDAJI MKUU WA TTCL (C.E.O) ND WAZIRI WAZIRI KINDAMBA


Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mh Profesa Makame Mbarawa pamoja na Waziri Mkuu Mh Kasimu Majaliwa, katika uzinduzi wa TTCL 4G LTE Mjini Dodoma hivi Karibuni.

1 comment:

  1. Nzuri, Nna swali jinsi ya kuongeza vocha na kujiunga bundle kwenye TTCL router bila kuchomoa sim card!

    ReplyDelete