TTCL yasaini mkataba wa kupeleka huduma ya Intarnet kwenye vituo vya TIC


Kampuni ya simu Tanzania (TTCL) imeendelea na juhudi za kupeleka mawasiliano kwenye taasisi za serikali baada ya kusaini mkataba wa kupeleka huduma ya Intanert katika kituo cha uwekezaji (TIC), Pichani ni Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Waziri Waziri Kindamba na Nd, Geoffrey Idelphonce Mwambe Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania katika hafla ya kusaini mkataba huo wa kupeleka huduma za mawasiliano ya internet 

Baada ya mkataba kusaini Afisa mtendaji mkuu TTCL na Mkurgenzi Mkuu wa TIC walikabidhiana hati za mkataba

Picha ya pamoja baada ya kusani mktaba.No comments