TTCL YAENDELEA KUTEKELEZA MPANGO WA HUDUMA ZA MAWASILIANO KWA WOTE UCSAF YAZINDUA MNARA WILAYANI BAHI.

Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (MB) Akizungumza na wananchi wa wa kata ya Nondwa kabla ya uzindu wa mawasilinao ya simu katika Wilaya ya Bahi mapema wiki hii.


Waziri wa Mawasiliano na uchukuzi Profesa Makame Mnyaa Mbarawa (MB) akizinduwa mawasilinao ya simu katika kata ya Nondwa Wilaya ya Bahi mapema wiki hii.

No comments