TTCL YAWAKARIBISHA KATIKA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJAOktoba 2-6 ni maadhimisho ya Wiki ya Huduma kwa Wateja Duniani kote, 
TTCL Mtandao wako wa Kizalendo unakupa uhakika wa ubora wa huduma na bidhaa kwa gharama nafuu,

Karibu katika maduka yetu ya TTCL tukuhudumie


No comments